d6

d6

D5

D5

d3

d3

Friday, August 8, 2014

Udaku wa leo, Unafikiri binti wa Kagame angefaa kuwa Miss World

 Ange Kagame, Rais wa Rwanda, Watoto wa Kagame
 Ange ni mtoto wa pili na wa kike pekee kati ya watoto wanne wa rais Kagame  wa Rwanda. Kaka mkubwa anaitwa Ivan, Ian na Brian. Rais Kagame alishawahi kumuuliza mtoto wake kwenye birthday yake ni zawadi gani angependa na Ange alimjibu baba yake kwa utani kuwa angependa Trey Songz wa Marekani kuimba kwenye birthday yake kama zawadi ya birthday. Na rais kwa mapenzi yake alifanya hivyo na alimletea Trey Songz mwanamusic wa R&B wa Marekani kwa kumlipa kitita cha pesa na kuimba kwenye birthday party ya mtoto wake pamoja marafiki zake huko Rwanda

Tuesday, August 5, 2014

Mambo ya Mitaani kwetu; Abiria chunga mzigo wako

Abiria, mizigo, bodaboda, wizi
 Wakati wizi wa bodaboda ukiwa umeshamiri, imeona niwaletee mbinu hii mpya ya kulinda bodaboda yako
Abiria, mizigo, bodaboda, wizi
Usidhani majuu hakuna wizi. Hii ni njia ya kuchunga mzigo wako.